Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wapendwa Leo tumeanza Kwarezima, niliweka nadhiri nisinywe 40 days zote, ili Kiasi cha pesa nilichojizuia kulipa kodi nikatoe kwa Yatima na Wajane! Mniombee nitimize hii Ahadi km nitaweza

Hata unapokunywa kodi inasaidia wotee yatima wajane mpaka maskini....

Bora unywe tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa katibu

Jr[emoji769]
Nna hasira kama mchwa
Jana nlibanwa na majukumu kwa hiyo sikulipa kodi vilivyo leo acha nijiachiee to the fullest

Ova
20190306_124544.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom