Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Naanza na hiii
Wiki mbili zlizopita nlikesha terminal msamvu hpo nilikuwa kaunta ilikuwa bandika banduaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo maugo anazichapa hapaaa
IMG-20190302-WA0010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaha leo kuna pambano la ngumi TWAA KIDUKU na MADA MAUGO
[emoji23][emoji23]kama una kampan sio pabaya...mie naendaga alone sikai sana yale makelel nalewaga haraka kweli[emoji23][emoji23]..mie nwenzenu neno bendi zimekaa kushoto..i love kariokè..yaa .hapo ntakesha...ila bendi[emoji23][emoji23]nasinzia kbs..tena moro hakunaga bend walo waluguru band uwiiiiii .....unaweza zima!..msalimie meneja na boss Ema[emoji4]
IMG-20190302-WA0011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itatua kwenye gorofa za flomi hotel

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama namuona hyo dada mweupe mmiliki ila tulimsumbuaa sana kila tukiendaa hapo anadai sisi kwenye Bill watata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lkn syo utata ni kuwekana Sawa hpo kuna vihudumu vilikuwa vnapenda kuchomekeaaa
Walijua tungi tunalopiga tunasahau kumbe wengine tukilewa ndy kwanza akili inachaji Mara dufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom