[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ibilisi mbaya Kweli, nadrive napita Ibungu Mabibo Sahara roho inaniuma balaa, mbele naiona Muleba na Gonga zote watu full! Daah Ila nimeshinda majaribu mpk dakika hii Sijajua kwa baadae
Yupi huyo!?
Jr[emoji769]
Lol karibu ila fegi mi sivuti navuta spliff,hicho kipande cha fegi ni cha mrs huwa anachanganya kwenye spliff yake.Karibu sana Hornet.
Aliye karibu na kituo cha polisi cha mabatini anicheki [emoji23][emoji23]🤛🏽🤛🏽
Wadau naona tumempoteza kibs huyu alikua mlipa kodi mzuri sana pale mebs na London pub
MTC | 101| [emoji769]
Dah asee
Acha leo tumnyweee pombe tuEphraim Kibonde 'Kibs' mlipa kodi mzuri sana alikua
MTC | 101| [emoji769]
Peponi hakuna bia....Wadau naona tumempoteza kibs huyu alikua mlipa kodi mzuri sana pale mebs na London pub
MTC | 101| [emoji769]