Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hiyo imeshawahi nitokea bar moja Dodoma bhn wakajua tumelewa wakatuuzia Dompo elf 20000
Kama namuona hyo dada mweupe mmiliki ila tulimsumbuaa sana kila tukiendaa hapo anadai sisi kwenye Bill watata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lkn syo utata ni kuwekana Sawa hpo kuna vihudumu vilikuwa vnapenda kuchomekeaaa
Walijua tungi tunalopiga tunasahau kumbe wengine tukilewa ndy kwanza akili inachaji Mara dufu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_8153.JPG
 
Nilikuwa naelekea mapinga kwenye mishe mvua ikazingua nko na mwanangu swai tukashauriana tunafanyaje...tumeishia kwa mangi tegeta hapa tunafanya yetu...
Advance ya watu ya kazi ndy tumeianziaa kuiteketeza hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

View attachment 1036717

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niko backyard kwa Mathias nawahani ndugu zangu wahaya msiba wa Ruge... Cocktail fulani ya kibabeView attachment 1036752
IMG_20190303_094159.jpeg


Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom