Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapo ikisubiria nyama ya mbuzi mnadani Dodoma jumamosi iliopita.

Nimekipenda sana kuwanja cha Mnadani
IMG_20190202_163124-1-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemkuta father mmoja hapa anachukua korosho anazilaza ndani ya konyagi kesho yake anazitoa, yeye hanywi ila Tafuna Korosho zake ndo utajua watu wabunifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu fafanua basi izo korosho anavozilaza humo kwenye spirit zinakuweje? Zinaongeza nguvu ya kudinyaaa aau? BTW Karibu tumsikilize mdada TS na reputation yake
IMG_20190205_211534.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom