Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji2] kweli kabisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha nakumbuka nikiwa o level nilikuwa nikitumiwa ela tuu namchukua mwanangu tunaenda kupiga gambe, nikiwa sina ananikopesha nikitumiwa hanidai, tukimaliza kutumia ananiambia amenifutia deni kiasi fulani [emoji23][emoji23] nilikuwa kama nchi vile nakopa baada ya mda nafutiwa deni, huyu jamaa hata aniambie ana shida gani ninafight kumpiga tafu, mwanangu sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_0007.JPG

Mdogo mdogo
 
Ha ha nakumbuka nikiwa o level nilikuwa nikitumiwa ela tuu namchukua mwanangu tunaenda kupiga gambe, nikiwa sina ananikopesha nikitumiwa hanidai, tukimaliza kutumia ananiambia amenifutia deni kiasi fulani [emoji23][emoji23] nilikuwa kama nchi vile nakopa baada ya mda nafutiwa deni, huyu jamaa hata aniambie ana shida gani ninafight kumpiga tafu, mwanangu sana
[emoji23] nimependa huu mpango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom