The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Bila shaka, Kufeli kwa figo zetu Mara nyingi kunasababishwa pia na vyombo vyetu, Tunywe kwa uangalifu
Lbda alikuwa anajiiba kwa kunywa
Best msiba umeniuma sana huu wa Ruge yaan nimelia alafu sina ht wa kunibenbeleza..chqngamoto gan tena jaman??usikate tamaa ...nakuaminia kamanda mambosasa wangu!manengelo upo best!? Nimekumiss sana.. Niko kwenye changamoto moja kubwa kidogo, ndio maana hata 'kodi silipi'...
Sent using Jamii Forums mobile app
🍷😭😭😭😭Junguu kuu halikosi ukoko.... Mtakimbia mniache[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji485][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee tupe kitabu gani hicho maana kuna watu wanatabia ya kudai madeni bar
Aisee tupe kitabu gani hicho maana kuna watu wanatabia ya kudai madeni bar
God save us