Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mie nakulipa baa ili tuimalize hapo hapo[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hasara nishazipata sana,unakuta mshkaji hana ela ya tungi alafu unamdai anakuja kukulipia bar na mnainywea yote..majuto ni siku inayofuata unaamka una hangover alafu huna ata mia na ukikumbuka ulilipwa deni lako 200kb

Siku hizi nimeshtuka sipokei deni bar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mie kama unanidai nakulipa baa ili tuzinywe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdg mdg tu hpa

Ova
20190227_203236.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom