Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahaha ,acha maneno sema uko msasani upi ? Uone maajabu ,mkono ukigeuka kuwa gitaa

Msasani Ccbrt ,msasani mwisho,msasani bonde la mpunga,Msasani magunia,msasani maandazi road,msasani beach ( opp US embassy) ,msasani namanga

MTC | 101| [emoji769]
Sasa naona wewe unataka watu wasiojulikana wajue nilipo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu unamaanisha lupango hii ya Polisi/mahabusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kaka lupango inayoitwa BAN... Anawasalimia sana
IMG-20190209-WA0001.jpeg


Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom