Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,566
Castle Lite barrrrriiidiiiiTatizo la walevi wengi humu ni wachoyo, hakuna kukaribishana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya Leo weekend mnakunywa nini?
Safiii, na mie ngoja nikazisake
Mbaliiiiii, Asante
Dah... [emoji23][emoji23][emoji23]Maalumu kwa ajili ya wanywaji tu..na si walevi.
HahaaaaView attachment 1016954
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishaanza kuwaona wahudumu warembo haswaaaaaaa. Akipita mkono lazima usalimie makalio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaliiiiii, Asante
Una bahati kama Yohana MbatizajiYaani Mimi nkipiga maji naonaga sina mzuka kabsa na warembo . ..
Mi nitakuwa askofu ajaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Madongo kuinama [emoji23][emoji23]Hahahaha, mbali mbinguni
MTC | 101| [emoji769]
Madongo kuinama [emoji23][emoji23]