The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
Zitakuwepo mkuu kama chui mweupe yupo bila shaka hata safari ipo aisee...
Mkuu bado upo hapo?mimi nimekaa hapa msasani kwa mangi natupua mdog mdogo na mwanangu
Zitakuwepo mkuu kama chui mweupe yupo bila shaka hata safari ipo aisee...
Mkuu bado upo hapo?mimi nimekaa hapa msasani kwa mangi natupua mdog mdogo na mwanangu![]()
Uzalendo umenishinda ngj nipige bia 2 dawa za mbuuuZitakuwepo mkuu kama chui mweupe yupo bila shaka hata safari ipo aisee...
Nilibadilisha kituo nikahamia nexus mkuu...
Nahisi kesho kama kawaida nitapita kukata kiu kidogo...
Ha ha haaa, anataka kuwapimia watu wa Arumeru?Anapima wanywaji hajui nguvu ya wanywaji hyu!
Ova
View attachment 990521
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa bonge la limbukeni, watoto wa Mjini tunamcheki na umburula wake.Kiasi Cha kunywa akapangie familia yake.Anapima wanywaji hajui nguvu ya wanywaji hyu!
Ova
View attachment 990521
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa bonge la limbukeni, watoto wa Mjini tunamcheki na umburula wake.Kiasi Cha kunywa akapangie familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni mgonjwa wa akiliAnapima wanywaji hajui nguvu ya wanywaji hyu!
Ova
View attachment 990521
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ni mgonjwa wa akili
Jr[emoji769]
Ana tu bip sisi tutampigia [emoji23] [emoji23]Jamaa bonge la limbukeni, watoto wa Mjini tunamcheki na umburula wake.Kiasi Cha kunywa akapangie familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyumbani nyumbani taratibuHuyu ni mgonjwa wa akili
Jr[emoji769]
Hapa huwezi kusikia mambo ya eti pombe Kali inaunguza maini hata siku mojaK vant niache, utaniuwa bure. Nimebaki Kula visupusupu tuView attachment 989425
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama mlokole atakuwa amefurahi leo
Mwaka tangu uanze sijarud alfajiriMama mlokole atakuwa amefurahi leo
HallelujahMwaka tangu uanze sijarud alfajiri
[emoji23] [emoji23] nmekuwa mutu mpya
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app