Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahahahaha kule iringa unaanza na nyagi kwanza kutoa barid then unaanza shusha bia baridi itakutii tu
Hapo club vip kwa pembeni (ng'ambo ya 4 season) si ndo 255 au? Njia inayoenda Club Laparte kule.
 
Ijumaa inaanza hivi pande za Makambako
1548974142833.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo nikiibuka holiday inn mida ya saa nne tano lazima nipate totoz,nipe machimbo bana nipo na wazee fulani wakudakuda,mwenyeji wangu tutaonana kesho,ntarusha picha ya ushahidi kama shukrani.
kuna na ki quest bubu hapo hapo na nyingi mtaa huo, una chaps kama kawa. Vaa ndomu mzee baba Iringa ni kwikwi
 
kuna na ki quest bubu hapo hapo na nyingi mtaa huo, una chaps kama kawa. Vaa ndomu mzee baba Iringa ni kwikwi
Arusha mkuu siyo Iringa,nina chumba hotelini,na nimeshasawazisha na mhudumu mmoja kaunta asubuhi,jioni hii mida ya saa tatu ningependa kujichanganya sehemu niamke na toto asubuhi,nitonye machimbo mazuri yenye totoz.
 
arusha kunaa sehemu za kistaarabu ila kua na mwenyeji kama ukikaa kiree utapigwa beto bablai, bora uvunge usome maramani
 
Babylon napitaga tu, naona pamechangamka. Binafsi napenda sehemu yenye utulivu. Panafaa kwa vijana
Sijawahi kufika,kuna mtu anaelekea huko kwa issue fulani kwa hiyo ntazuga,pakinizingua sitakosa pa kwenda baada ya shots mbili tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom