Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Vibaya hivyo jamani, hlf Leo Nina kiu ya hiyo kitu balaa

b8a160b66aee1b1a943e55971f04e730.jpg


Karibu.
 
Ningependa kuonja siku moja maana Ina jina kubwa. Ukute ukinywa unatajirika
Mbwembwe zetu tu hamna utajiri wowote,kwanza mimi starehe yangu bhangi,kimbia yote ile jana nimepiga shots mbili tu,ndo maana ukasema nina makengeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom