Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu kesho anza MIAMI pana mbuzi balaa ukitoka kama unapenda kitimoto nenda vibanda vya CCM kuna mdudu sijawai ona dunia hii na bei chee then zama VIP au SHINE PUB then malizia CLUB LA PARTE

Asante mkuu kesho nikimaliza kazi yangu nina kama siku tatu za kula bata nitamaliza mitaa yote asante sana club la parte kesho patahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom