Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Iringa mjini ulizia luxury pub au Miami barWalipa kodi wenzangu mliopo iringa mjini, nielekezeni sehemu nzuri ya kupiga bia na nyama choma ambapo macho nayo yatavutiwa kutizama
Miami safi, akishiba nyama apite VIP. Waliweka kiingilio ili kuzuia mafuriko ya Watu.
Nishakula sana pipi hpo pko poaMiami safi, akishiba nyama apite VIP. Waliweka kiingilio ili kuzuia mafuriko ya Watu.
Sijajua kwa sasa ila ina muziki mzuri Wazungu wanaipenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Miami safi, akishiba nyama apite VIP. Waliweka kiingilio ili kuzuia mafuriko ya Watu.
Sijajua kwa sasa ila ina muziki mzuri Wazungu wanaipenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante sana mkuu, umezururaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha tu......
Ila bado nko mapumzikoni
Kijiwe kimetulia kuna alinambia anatamani nipigee mwaka mzimaaa [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kucheki container ruccoAsante sana mkuu, umezururaa
Ngoja nkiwafungulia wataisoma # sahv kama mlokole hviUmeendelea kuishangaza minyoo mpaka mda huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikufa mkuu kitambo hata hio luxury pub ilifungwa
Duh container rucco JeIlikufa mkuu kitambo hata hio luxury pub ilifungwa
255 ipo auIlikufa mkuu kitambo hata hio luxury pub ilifungwa
Mkuu kesho anza MIAMI pana mbuzi balaa ukitoka kama unapenda kitimoto nenda vibanda vya CCM kuna mdudu sijawai ona dunia hii na bei chee then zama VIP au SHINE PUB then malizia CLUB LA PARTEAsante mkuu, leo ngoja nitulie lodge kesho nitaelekea hapo![]()