Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Syo wote
Kuna jamaa yangu mmja ni mhandisi mke wke ana mdomo balaa jmaa mpaka nyumba anaiona chungu naye Inabidi achelewe rudi home asubuhi kachomoka anakwepa ugomvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi napenda hapo tu.

Watu wazima ila mnaviziana unavuta muda mwenzako alale we ndiyo unaingia home....

Unafika umelewa unapewa ubembeleze mtoto

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah tungi kuna mikasa mingi sana
Na lawama kutoka kwa wake wa washkaji
Mimi Nna gunia la lawamaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu kweli wew hapa legend sisi wahamia tu kazi zimetuleta
Duh hko Nna kampani kubwa sana nkifika hko ni balaaa maana miradi yangu mingi nimefanya hko moro maporini
Tushikamane ilikuwa kijiwe kimoja bab kubwa Sema ilikuwa ilikuwa ya kaka yake mwisho anaitwa isambi na jamaa mmja anaitwa bob

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhahah ulipigwa nini shehe
Sijaibiwa mshikaji wngu mmja wa sua hapo alipigwa sim yule mmiliki wa hapo dada mweupe anaitwa Farida Tukio lile akawa anatetea ujinga basi ulitokea uzushi pale mpaka akaja saba Sita ple
Alafu yule mmiliki namjua kitambo sana Tulikuwa karibu sana anatujua tulimind kwann hakuwa upande wetu
Mpaka leo nkija moro pale sigusi nliwaona wajinga tu yule mme na mke wake pale

Aaaah nampata farida yule mmiliki na mumewe hawakufanya poa huyo kamanda sabasita ndio baba yake tunda huyu binti muuza k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom