The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
[emoji23] ...nguvu ya ziada imetumikaMzee nimezoom chini ya meza nikajua maamuzi ya kwenda hapo hayakuwa ya kwako 100%
Proverb 3:5-6
[emoji23] ...nguvu ya ziada imetumikaMzee nimezoom chini ya meza nikajua maamuzi ya kwenda hapo hayakuwa ya kwako 100%
Hahahha mzee una macho mim nlikua sijaona aiseee hawa viumbe wana nguvu zaid ya bulldozerMzee nimezoom chini ya meza nikajua maamuzi ya kwenda hapo hayakuwa ya kwako 100%
Use na huruna kesho anatakiwa akatafute, utajisikiaje akilala home.😀😀Kazi na dawa
Mimi ndy nmerudi sasa hvi nlikuwa na mizunguko balaaaa
Sahv hivi ndvyo tunataka fanya na leo lazima mtu abebwee na machela[emoji23]
Ova
View attachment 1002812
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha mzee una macho mim nlikua sijaona aiseee hawa viumbe wana nguvu zaid ya bulldozer
Hapo sasa.[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mkuu haya mambo haya tunaacha kama yalivyo, tuyaite unallowable expenses, sa mrangi umlishe pizza akati hapo inatakiwa mbuzi au ndugu yake mbuzi katoliki + juice si kesi hii, na hapo ameshatia vyombo kumbuka
Leo najitahidi nisiguse ila kuna ka nguvu kananisukuma nikapige hata bia 2 daah sjui ntaweza vumilia[emoji21]
Mm jana nlikwambia leo lazima upige vyombo ukadai eti leo hutagusa cheki sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi na dawa
Mimi ndy nmerudi sasa hvi nlikuwa na mizunguko balaaaa
Sahv hivi ndvyo tunataka fanya na leo lazima mtu abebwee na machela[emoji23]
Ova
View attachment 1002812
Sent using Jamii Forums mobile app
Keshooo mkuu napumzikaMm jana nlikwambia leo lazima upige vyombo ukadai eti leo hutagusa cheki sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina haja ya kupumzika piga vyombo mkuu ukipumzika tutakosa kodi maana ww ni mlipa kodi mtiifu na wa muhimu sana[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haina haja ya kupumzika piga vyombo mkuu ukipumzika tutakosa kodi maana ww ni mlipa kodi mtiifu na wa muhimu sana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakushtaki kwa mwenyekiti maana unazorotesha maendeleo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntapumzika tu nitegee kodi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ingetakiwa hapo sasa upate nyama choma ya mbuzi na ndizi hizo kreti wala hutaziwazia mnakata chapDuh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo hpa kna kreti 3 tko mtu kama 5 ndyy tunazikata mdg mdg
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehh ahadi ni deni [emoji28][emoji28][emoji28]Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo hpa kna kreti 3 tko mtu kama 5 ndyy tunazikata mdg mdg
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kesho uhakikaaa aise maana leo nko na vibeee mbayaaa ya tungiii valve zote zimefunguka
Kwani Kuna mwenye tatizo madam!??
Chaliii uko mitaa ganDah kesho uhakikaaa aise maana leo nko na vibeee mbayaaa ya tungiii valve zote zimefunguka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app