Hii songea mkuu? Hiyo counter looks familiar kwangu--![]()
Sent from my Iphone using Tapatalk
Hahaha, huku pande za Moshi mkuu
Chini ya mti si ndio ile ina wahudumu wenye mizigo sana?Hahaha, huku pande za Moshi mkuu
Songea nimekaa pia , viwanja vyangu vilikuwa vijana pub, chini ya mti, Serengeti n.k
Sent from my Iphone using Tapatalk
Ndio mkuu, mti wenyewe ni mwembe alafu kuna kinyago
Aise, nilikuwepo namtumbo mwaka 2013, weekend nilikuwa najivuta town...kuna mwanangu mmoja alikuwa hadi ana cancel kazi sbb ya ile bar.. [emoji23]Ndio mkuu, mti wenyewe ni mwembe alafu kuna kinyago
Sent from my Iphone using Tapatalk
Hahaha, pale peace sana. Ni kando tu ya barabaraAise, nilikuwepo namtumbo mwaka 2013, weekend nilikuwa najivuta town...kuna mwanangu mmoja alikuwa hadi ana cancel kazi sbb ya ile bar.. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Urambo napafaham sana hapo mkuu. Kuna bar maarufu sana hapo inaitwa salama, jirani na jamhuri by night, bado ipo kweli?
Hata msosi wao standard sana and fairly cheap.Hahaha, pale peace sana. Ni kando tu ya barabara
Sent from my Iphone using Tapatalk
Salama IPO,watu wanakunywa na kucheki mechi paleUrambo napafaham sana hapo mkuu. Kuna bar maarufu sana hapo inaitwa salama, jirani na jamhuri by night, bado ipo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri kiongozi;me nipo mahali nalipa kodi mdogo mdogo nlikua nawafuatilia ule mjadala wa madini maana ndo sekta zetu.