mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,440
- 138,231
Kuumwa kwenye hatumwagi
Au ninywe dawa Bila kuumwa [emoji23] [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuumwa kwenye hatumwagi
[emoji23] dah. Tafuta club soda
Proverb 3:5-6
Sana.. Au tafuta soup plain utie na limao ya kutosha
Huyu jamaa ni konki likwidi haswa asee, yani hata kulala halalagi ni tungi mda wote. Wakati mimi nikitupia tu ka K Vant kadogo natafuta kitanda kwa tochi.Muige mrangi ufe
Duh....Huyu jamaa ni konki likwidi haswa asee, yani hata kulala halalagi ni tungi mda wote. Wakati mimi nikitupia tu ka K Vant kadogo natafuta kitanda kwa tochi.
Asee salute kwako mzee baba. Unatisha sana.
Mapemaaaa sana niko kwenye mishemisheAsee salute kwako mzee baba. Unatisha sana.
Ndio chai. I mean breakfast? [emoji23]
Sawa chief, enjoy.[emoji23][emoji23][emoji23]booster
Jr[emoji769]