Value
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 252
- 403
😂😂😂😂Tunabaniaga wachawi riziki zaoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mnene
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi nasikia wanawagwaya walevi.
😂😂😂😂Tunabaniaga wachawi riziki zaoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mnene
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa muda wote tuko bwax kurudi usiku mnenee watatupatia wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachawi nasikia wanawagwaya walevi.
😂😂😂😂Sasa muda wote tuko bwax kurudi usiku mnenee watatupatia wapi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nko makini sana sipotezagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lewa kias boss wangu
Jirani yangu alishapotezwa njia na wazee wa dark sky... Kila akisonga mbele hafiki kwake dadeki[emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae wakamuachia!
Nashukuru sana mkuu. Bila shaka umesev namba yangu kutoka kwenye CV. sometimes nakuwa offline muda mrefu. Kikipatikana chochote tafadhali tutafutane kwa simu zaidi.Mimi nko makini sana sipotezagi
Mkuu......
Kuhusu mishe ya ajira kuwa mvumilivu soon mambo yko yatakuwa Sawa!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn ndg hzomrangi mimi si mnywaji, nimejifunza kidogo kugusa gusa balimi mwaka 2014..
Yani nikinywa 4 aisee nalewa mpaka nakosa utambuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaa hata mwaka sigusi kilevi[emoji41][emoji41]
Aisee zilikausha aisee. Learner kuanzia balimi amejitahidi sana lakn
Duh Safi usije tu ukawa kama sisimrangi mimi si mnywaji, nimejifunza kidogo kugusa gusa balimi mwaka 2014..
Yani nikinywa 4 aisee nalewa mpaka nakosa utambuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaa hata mwaka sigusi kilevi[emoji41][emoji41]
Balimi tight nayoAisee zilikausha aisee. Learner kuanzia balimi amejitahidi sana lakn
Acha tu asee. Nikiona ninyi mnagonga K vant na spirits nyingine huwa natoa salute kiaina😁😁😁
Natamani niwe hivi, ila mwili hautakimrangi mimi si mnywaji, nimejifunza kidogo kugusa gusa balimi mwaka 2014..
Yani nikinywa 4 aisee nalewa mpaka nakosa utambuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakaa hata mwaka sigusi kilevi[emoji41][emoji41]