Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo maneno tu najua hutoweza pumzika.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho ukweli ukweli napumzikaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunadiscuss issues sana.... Hapa nimekaa na mwanangu mmoja ni dereva kwenye kile chama cha vidole... Ananipa mwanga jinsi madereva wanavyopata shida... Aise kuna uvumilivu me nasema huwa sina, unanipelekaje dodoma halaf unanipa 20 unaniambia nisubiri zaidi ya week.. Aise nang'oa tairi ya gari nauza[emoji23]Kabisa mkuu unajua hata tukiwaga bar walevi huwa tunadiscus mambo ya msingi kama hayo ya madini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] dah, nimecheka sana hadi wadau wananishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]Doh uzalendo umenishinda acha nianzishe na nyagi
Ova
View attachment 1002147
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] dah, nimecheka sana hadi wadau wananishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiu masaa kadhaa [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah mzee uzalendooo kiuuuu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaàaa hivi unajua mfanyakazi anayetegemea mshahara wa kuajiriwa hawezi kula gambe kama aliyejiajiri!?mm ningeajiriwa nahisi ningekua jela labda kama nalipwa mshahara mnono ndio sifanyi maseke.Huwa tunadiscuss issues sana.... Hapa nimekaa na mwanangu mmoja ni dereva kwenye kile chama cha vidole... Ananipa mwanga jinsi madereva wanavyopata shida... Aise kuna uvumilivu me nasema huwa sina, unanipelekaje dodoma halaf unanipa 20 unaniambia nisubiri zaidi ya week.. Aise nang'oa tairi ya gari nauza[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu unajua hata tukiwaga bar walevi huwa tunadiscus mambo ya msingi kama hayo ya madini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu dili zote tunapeana bar.Kweli mzee baba hata deals ndio huko huko zinapita...
Nilipofika university, nilisema siwezi ajiriwa hasa serikalini. Ntafungwa mapema sana.Hahahaàaa hivi unajua mfanyakazi anayetegemea mshahara wa kuajiriwa hawezi kula gambe kama aliyejiajiri!?mm ningeajiriwa nahisi ningekua jela labda kama nalipwa mshahara mnono ndio sifanyi maseke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh uzalendo umenishinda acha nianzishe na nyagi
Ova
View attachment 1002147
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama mm najua ningekua mwajiriwa labda kama napata mshahara wa kunitosheleza la sivyo mm jela ingenihusu maana nisingekubali kuishi kizembe.[emoji23]Nilipofika university, nilisema siwezi ajiriwa hasa serikalini. Ntafungwa mapema sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bombadier ya pili hii tunakwendaaaHa ha hatari sana mkuu, binafsi tangu nimeanza kuingiza kipato kwa jitihada zangu mwenyewe ni siku chache sana sijatupia na hapo niwe ninaumwa ila lazima nipige mbili tatu kisha nnasogea home, ila mzee baba we ni bampa to bampa
Mkuu mm nlikua nafanya kazi kwa mtu duh alinbana balaa mpaka weekend ata muda wa gambe nilikua nakosa sina hamu na kazi za watu now nafanya mpango wa kujiajiri[emoji23]Nilipofika university, nilisema siwezi ajiriwa hasa serikalini. Ntafungwa mapema sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Andaa mtaji wako, set mipango yako. Ingia mtaani. Huku inahitaji hardwork na discipline tu.Mkuu mm nlikua nafanya kazi kwa mtu duh alinbana balaa mpaka weekend ata muda wa gambe nilikua nakosa sina hamu na kazi za watu now nafanya mpango wa kujiajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
True!watu wanaona tunapiga mitungi tuAndaa mtaji wako, set mipango yako. Ingia mtaani. Huku inahitaji hardwork na discipline tu.
Sent using Jamii Forums mobile app