The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 566
SafiiMango juice + lemon ili tusiunguze Koo...[emoji483] View attachment 987877
[emoji23][emoji23][emoji23] hata gongo yao super sana nimepiga mbili tena kavu kabisa na tayari kichwani nilikuwa na valuer mixer pernasolNiliwahi kuionja Mnyusi (Mnyuzi) miaka 2000. Asubuhi arufu yake utaleta mrejesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 987471Nimeamka sasa nikasema nizimue nimekutana na watoto wa matejoo wanazimua nikaamua nianze na toti kesho nategemea kurudi nimemaliza majukumu leo ni kuweka vitu kwa hasira..
Chuga polinichosha nikaja moshi ndio nipo kwa bus narudi na kikonyagi changu nikifika salama naweka picha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Hata hujanistua tukatinga matejo [emoji23][emoji23][emoji23]Chuga polinichosha nikaja moshi ndio nipo kwa bus narudi na kikonyagi changu nikifika salama naweka picha.View attachment 988117
Mwenyekiti mambo zako[emoji23][emoji23][emoji23] hata gongo yao super sana nimepiga mbili tena kavu kabisa na tayari kichwani nilikuwa na valuer mixer pernasol
Jr[emoji769]
Nilikuwa Samaki Samaki Mlimani City ningekujoin hapo Mkuu...lini tena?Bnb mwenge
Nilikuwa Samaki Samaki Mlimani City ningekujoin hapo Mkuu...lini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika moshi nenda mekuzChuga polinichosha nikaja moshi ndio nipo kwa bus narudi na kikonyagi changu nikifika salama naweka picha.View attachment 988117
Nko pande moja natoa lockChuga polinichosha nikaja moshi ndio nipo kwa bus narudi na kikonyagi changu nikifika salama naweka picha.View attachment 988117