mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,153
- 137,524
Peleka nasaha zako jukwaa linginePombe haikuwa sehemu ya kinywaji ambacho Mungu alimpa mwanadamu; maji safi na salama ndicho kinywaji bora kuliko vyote kwa mwanadamu (Mithali 20:1; 23:29-35).
Walevi hawataurithi ufalme wa Mungu (1 Kor. 6:9,10; Gal. 5:21).
Kuna wengi wanaosema, "Mimi nakunywa sana, lakini silewi." Tatizo la pombe sio kulewa tu, bali ni zile athari zinazotokana na kunywa pombe ambayo ina sumu mbaya ya alkoholi. Sumu hiyo
huathiri vibaya moyo, mishipa ya fahamu, nyama za mwili na kadhalika.
Mungu atamharibu mtu ye yote anayeuharibu mwili wake kwa makusudi kwa njia yo yote ile -pombe, tumbaku, madawa ya kulevya, na kadhalika (1 Kor. 3:16,17).
Pia kuna vinywaji vinavyopendwa na watu wengi aina ya 'Cola', Kahawa, na Majani ya Chai ambavyo huidhuru mishipa ya fahamu, ubongo na mwili.Viepukwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha watu wanywe pombe....utapataje akili Bila kunywa pombe
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app