Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

habari zenu wanabodi.....leo nasafiri nikasema sababu ntakuwa free safari isiwe ya kizembe niichangamshe kwa kulipa kodi....siku njema walipa kodi huru
20190103_052849.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe haikuwa sehemu ya kinywaji ambacho Mungu alimpa mwanadamu; maji safi na salama ndicho kinywaji bora kuliko vyote kwa mwanadamu (Mithali 20:1; 23:29-35).

Walevi hawataurithi ufalme wa Mungu (1 Kor. 6:9,10; Gal. 5:21).

Kuna wengi wanaosema, "Mimi nakunywa sana, lakini silewi." Tatizo la pombe sio kulewa tu, bali ni zile athari zinazotokana na kunywa pombe ambayo ina sumu mbaya ya alkoholi. Sumu hiyo
huathiri vibaya moyo, mishipa ya fahamu, nyama za mwili na kadhalika.

Mungu atamharibu mtu ye yote anayeuharibu mwili wake kwa makusudi kwa njia yo yote ile -pombe, tumbaku, madawa ya kulevya, na kadhalika (1 Kor. 3:16,17).

Pia kuna vinywaji vinavyopendwa na watu wengi aina ya 'Cola', Kahawa, na Majani ya Chai ambavyo huidhuru mishipa ya fahamu, ubongo na mwili.Viepukwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipende kupotea njia mwazoni mwa mwaka

Similar Discussions

Back
Top Bottom