Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

kijiji moja
20190101_095140.jpg
 
Jana sikupiga maji sana bia chache mapema nkajifungiaaa
Maana siku ya jana wanywaji wnakuwa wengi wale wanafunzi newcomers wa pombe ndy siku wanayojifunzia pombe hapo Sasa!
Watu wazima tukajifungiaa tunawapisha wao [emoji23]
Leo sasa zamu yetu
Tunaendeleza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sure, me juzi nimekoswa na ajali mbaya sana natoka narudi home mida ya saa 8 usiku. kuna mabinti na kigari cha kuiba kwa mzee wao wako tungi wakatuovertake kushoto wakamvaa bodaboda na kumvunja mgongo.. siku za sikukuu ni nzuri kunywea tu home maana devil naye anakuwa anafunga hesabu....

Aise hongera kwa kuokoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom