Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
😂😂😂👏
Muda huo nilikuwa konki mbayaMasaa matano kabla hatujafika2019 nawatakia kheri ya mwaka mpya wanywaji wote japomuwa siyo mywaji nimeamua kuwawakilisha tuView attachment 982471View attachment 982471
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mixer imenifanya kitu mbaya sana jana... Yani nimekuja kushtuka ni 2019 tayari[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24]View attachment 982621View attachment 982622
Jr[emoji769]
Mwenyekiti ulianza mapema eehhMuda huo nilikuwa konki mbaya
Jr[emoji769]
Ooooooh nawe pia dadaHeri ya Mwaka Mpya 2019. Mwaka uwe na baraka amani na upendo tele kwenye familia zetu pamoja na wale tuwapendao. Nawapenda wote nawatakia siku yenye furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Happy New year Boss[emoji112]Yani saa tisa tayari nilikuwa nimeshaanza
Jr[emoji769]
Nisalimie cha utundu...na kakae..[emoji112]Thanks very much the same to you
Jr[emoji769]