Kajabila
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 538
- 945
mm nilifika hila now najiskia malue lue hivi ngoja nitafute supuWewe ulipata hiyo akili, mi sikufanikiwa kufika home
mm nilifika hila now najiskia malue lue hivi ngoja nitafute supuWewe ulipata hiyo akili, mi sikufanikiwa kufika home
Merry Christmass ...Ukiwa mlevi wa kudumu na huwa hhuwasumbui wahudumu ni raha.
Sasa hivi ndoo napata fahamu, cha kufurahisha nilifungiwa store na vitu vyangu
Wewe unafaaWe acha tuu nimekuwa muungwana kila nikichomoa nilikuwa naongezea kwenye bili niliyoachiwa kwa uaminifu wao
hahaahahaa...Jana nilkikua maji kumbe nilitoa godoro nimelala sebuleni balaa
Merry Christmas brother[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Merry Christmass ...
And all here....
KAma ushafika home hamna shida...Likinitokea la kunitokea huu uzi utakuwa umehusika
Make jana nilikuwa naagiza kwa kumuonyesha muhudumu picha ambazo mlikuwa mnatuma za pombe ili niwe sambamba na wana jf humu.
Duh...Bado nimefungiwa na hamu ya haya maji yenye virangi kama koti la mendenasikia ka kichefu chefu kwa mbaaaaali
Acha ufala we jamaaCC : Asprin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]View attachment 976586
Wazo zuri sana
asante nitakuja huko soonKaribu A town rafiki
😂😂😂😂Leo nadhani nitakata moto maana asubuhi nishapiga virikuu 4😂
usicheke mkuu niko cha sita now ila nmekula na ntakula😂😂😂😂
Ukija unishtueasante nitakuja huko soon