Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu niamini, kama hii kitu ingekuwa inatengenzwa na ma engineer, mimi ningekuwa nikola tesla wa konyagi, hapa ni nyumbani nina uzoefu nao wa miaka mingi, nayo ina uzoefu na mimi, mimi ni konyagi na konyagi ni sehemu yangu, ninaipenda na haijawahi kuniangusha nami pia sijawahi kuiangusha labda kuisaliti inatokea mara moja moja niko forge mahusiano na kvant au beer, imenisaidia mengi nikiliga kabla ya negotiations mambo yanaenda murua kabisa, nikitaka kufikiri somthing extra konyagi inaniongezea akili, she is my friend for life if you read, i said what i said [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 977190
That being said.... You have my blessings. Enjoy
 
Afe kipa afe beki..
IMG_20181225_223017.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom