Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nimezitamani hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakamata hapa lakini nilipoziona hizo kiu kikaanza upya[emoji23]umestuka
Nimezitamani hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakamata hapa lakini nilipoziona hizo kiu kikaanza upya[emoji23]umestuka
Njoo huku wewe tujilipue[emoji23][emoji23]nimeachqa kwenye mataa arghh poa tu
Usijali nitakukaribisha mwaka mpyaNimezitamani hizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakamata hapa lakini nilipoziona hizo kiu kikaanza upya
Mguu wa nani huu[emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 977177
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pinduka dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] familia na ndoa inalindwa asubuhi na mchana kuanzia jioni kuendelea ni mda wa mother house kujidunga
Hata sijui mm jamani nimeuiba ukoMguu wa nani huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha yenyewe mafupi haya mama angu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pinduka dada
Oh afadhali sio wakoHata sijui mm jamani nimeuiba uko
Mkuu niamini, kama hii kitu ingekuwa inatengenzwa na ma engineer, mimi ningekuwa nikola tesla wa konyagi, hapa ni nyumbani nina uzoefu nao wa miaka mingi, nayo ina uzoefu na mimi, mimi ni konyagi na konyagi ni sehemu yangu, ninaipenda na haijawahi kuniangusha nami pia sijawahi kuiangusha labda kuisaliti inatokea mara moja moja niko forge mahusiano na kvant au beer, imenisaidia mengi nikiliga kabla ya negotiations mambo yanaenda murua kabisa, nikitaka kufikiri somthing extra konyagi inaniongezea akili, she is my friend for life if you read, i said what i said [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kuwa makini...hiyo kitu huwa inapanda ghafla ka kifafa.. Chunga usije haribu mbele ya mkwe.
Naiheshimu sana hiyo kitu.
Haswa raha jamani [emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha yenyewe mafupi haya mama angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na we umeaminiOh afadhali sio wako
Acha tuisikie tu hakuna namnaWalevi wote mbingu mtaisikia bombani tu..
Mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na we umeamini
Hahhaha ebu akuje atuage tu
Hahhaha endelea kuamini naanzaje kupost picha ya watu
Hata wewe una ulevi wako bishaWalevi wote mbingu mtaisikia bombani tu..
Hahhaha endelea kuamini naanzaje kupost picha ya watu