Moyess
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 952
- 1,199
Hahahahha nilishalipa sasa mpira ni half time wacha nibadili location huku napigwa kipupweBraza umeshaanza kuwaka, lipa bili kabisa
Hahahahha nilishalipa sasa mpira ni half time wacha nibadili location huku napigwa kipupweBraza umeshaanza kuwaka, lipa bili kabisa
Walevi wote mbingu mtaisikia bombani tu..
Miss sana Shunie.Mzee wa Swaziland nimekumiss mm nakutakia heri ya xmass na mwaka mpya @platzoom
Tena wee ndio hata hutaisikia kabisa..Aliekwambia anataka kuisikia kisimani nani?
Bwana ebu fanya kwenda
Jamani nimekumiss mm kuna joto uku ebu fanya kunichukua basiMiss sana Shunie.
Poleni kwa joto hapo Daslam.
Ila nimezooom kale kapicha kako!!!
Wewe choshoooo, hv wajua Yesu alitengeneza divai njema kwenye harusi ya Kanaan? Usomage na biblia kidogo bassssss.Walevi wote mbingu mtaisikia bombani tu..
Sawa mtu kibongeUtaanza niona nimesubscribe tyr mkuu
Ha ha haaaAliekwambia anataka kuisikia kisimani nani?
Tena wee ndio hata hutaisikia kabisa..
Unategemea ryme za black label halafu nisione vitu vitam. Ila wakubwa wanafaidi.Jamani nimekumiss mm kuna joto uku ebu fanya kunichukua basi
Picha nimeshaifuta kwani uliwahi kuiona mzee wa swaziland
Hahhaha eti wakubwa mzee wa swazilandUnategemea ryme za black label halafu nisione vitu vitam. Ila wakubwa wanafaidi.
Hahahaha, nawe pia shangazi ShunieWe mzee heri ya xmass
Mkuu Elungata, sio kweli kuwa ninapenda konyagi, bali ninaitumia tuu konyagi kama kinywaji pale inapobidi!. Kinywaji ninachopenda ni
Paskali
- Joni Mtembezi wa lebo ya Dhahabu (Gold Label)
- Joni Mtembezi wa lebo ya Buluu (Blue Label)
- Joni Mtembezi wa lebo ya Nyeusi (Black Label)
- Joni Mtembezi wa lebo ya Nyekundu (Red Label)
- Vikikosekana hivyo vyote ndipo hunywa konyagi kama pale simba anapozidiwa, hula majani!, one good thing kuhusu mimi, sijawahi kunywa bia maisha yangu yote, na kwa umri wangu hapa nilipofikia, ni hakika sitakunywa tena bia mpaka... tofauti pekee kati ya kunywa hard na kunywa bia!, hard unakunywa by decision kuwa leo ninazo, nitakunywa!, siku huna, unakunywa maji unalala!, hazina kiu, hazina hamu, hazina hang over wala hazina addiction!. Bia ina leta kiu, inakupa hamu, unafika mahali una hamu ya bia, una kiu ya bia, zina addiction, ukikosa bia unakosa raha, na kibaya zaidi zina hangover kama ukizidisha!. Ukimuona mtu anakunywa chochote kati ya hivyo 4 vya mwanzo, ujue anakunywa kwa uamuzi! sio kwa kiu, au hamu!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ondoka hapo hiyo sio pombeNishaanza ona waiter kama mzur mzuri aisee wakati nafika nlimuona chenga hizi pombe hizi kwa kukonvert hazijambo
Jamani tuache utani beer tamuuuu khaa[emoji23][emoji23][emoji23]unanitamanisha tu hapa...ila.nitatoka tu tmr tena asbhhhh
Pepo unaijua mkuu. Sio wote watakao sema bwana bwana watakao uona ufalme wa Mungu [emoji41][emoji41]Wa-Afrika mnapenda majibu mepesi kwenye vitu vigumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu umeacha
Kazi gani labda hebu eleza hapaYes! Nina ulevi wa kusikiliza muziki na kucheki muvi.. Yaani ni mrahabu kweli wa hivi vitu. Ila ninyi wa pombe kazi mnayo walahi