Mkuu , ni kweli nilialikwa Jicho letu ndani ya Habari, kuzungumzia matukio 4 makuu yaliyotawala vichwa vya habari. Haya niMuda huu tuongee asubuhi ya Star TV katika eneo la jicho letu ndani ya habari, mwandishi nguli paschal mayalla anadadavua matukio mbali mbali yaliyojitokeza jana wakati na kabla ya hotuba ya Raisi.
Paschal mara nyingi anarejea jinsi Mtandao wa kijamii wa JF ulivyokua unabashiri mambo kwa usahihi na jinsi UKAWA walivyoweka wazi misimamo yao ya kuwa walipanga kuzomea jana.
Tufuatilie
Mkuu nimeripoti newsoom kwa mara ya kwanza tarehe 2, Januari, mwaka 1990!, mpaka leo ni miaka 25!. Nimeipoti chaguzi 4 za vyama vingi, na kama ningekuwa sijastahafu, uchaguzi huu ungekuwa ni wa 5 kuuripoti!. Sijisifu ila mimi ndie nilikuwa mtu wa kwanza kufanya TV Talkshow Tanzania!, ndio nilikuwa Mtangazaji bora wa kwanza wa TV kwa Tanzania kwa viwango vya M-Net!. Ndio nilikuwa Mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kutinga UN kutangaza GA!. Mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa Radio Tumaini, DTV na TVT!, na kwenye list ya veterans journalist wa Tanzania kwa mujibu wa UN Tanzania, jina langu lipo!. Nimetembelea mabara yote ya ulimwengu huu na nchi zaidi ya robo tatu za bara la Afika zikiwemo nchi zote za Kusini mwa Jangwa la Sahara!, hivyo kwa ukongwe!, na mimi ni mkongwe!Hivi Angalieni Mpendu hana watu wengine wa kujadiliana nao kwenye hicho kipindi chake zaidi ya Pasco??! Aaah samahani ninamaanisha paschal mayalla. Na yule wa Mwanza sijui kwa kujikomba au matatizo tu ya uwezo wa kufikiri anamwita paschal mayalla eti ni NGULI wa tasnia ya habari!! Mimi neno NGULI naliona linapoteza maana yake halisi na mantiki yake kabisa. Pasco ni nguli wa habari????
Ni Tambaza.Product ya Azania na JF. Amekinukisha mbaya star tuongee morning
Paschal Mayalla yupo kwenye fani zaidi ya miaka 20,alianza RTD,amepitia TSJ,,ana shahada ya sheria,anaongea kiingereza vizuri.hapo unataka nini kwa viwango hivi huyu ni nguli.Hivi Angalieni Mpendu hana watu wengine wa kujadiliana nao kwenye hicho kipindi chake zaidi ya Pasco??! Aaah samahani ninamaanisha paschal mayalla. Na yule wa Mwanza sijui kwa kujikomba au matatizo tu ya uwezo wa kufikiri anamwita paschal mayalla eti ni NGULI wa tasnia ya habari!! Mimi neno NGULI naliona linapoteza maana yake halisi na mantiki yake kabisa. Pasco ni nguli wa habari????
Mkuu nimeripoti newsoom kwa mara ya kwanza tarehe 2, Januari, mwaka 1990!, mpaka leo ni miaka 25!. Nimeipoti chaguzi 4 za vyama vingi, na kama ningekuwa sijastahafu, uchaguzi huu ungekuwa ni wa 5 kuuripoti!. Sijisifu ila mimi ndie nilikuwa mtu wa kwanza kufanya TV Talkshow Tanzania!, ndio nilikuwa Mtangazaji bora wa kwanza wa TV kwa Tanzania kwa viwango vya M-Net!. Ndio nilikuwa Mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kutinga UN kutangaza GA!. Mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa Radio Tumaini, DTV na TVT!, na kwenye list ya veterans journalist wa Tanzania kwa mujibu wa UN Tanzania, jina langu lipo!. Nimetembelea mabara yote ya ulimwengu huu na nchi zaidi ya robo tatu za bara la Afika zikiwemo nchi zote za Kusini mwa Jangwa la Sahara!, hivyo kwa ukongwe!, na mimi ni mkongwe!
Paskali
Ni Tambaza.
Paskali
Paschal Mayalla yupo kwenye fani zaidi ya miaka 20,alianza RTD,amepitia TSJ,,ana shahada ya sheria,anaongea kiingereza vizuri.hapo unataka nini kwa viwango hivi huyu ni nguli.
Mkuu kabombe, asante, waeleze hawa watoto wa humu jf, wamezaliwa juzi, wamekuta tv kibao na redio stations kibao, hivyo wakitusikia wanadhani na sisi pia tumeanza juzi!. Tena sio wengi wanaojua kuwa zamani tulikuwa hatuna TV, redio ndio illikuwa moja RTD na magezeti yalikuwa matatu, Daily Nes/Sunday News, Uhuru/Mzalendo na Mfanyakazi!.External service ya Rtd pia umepiga sana mzigo.wakati ule watu hakuna na ukilazimisha mtu kuingia studio anaweza kutoka kinywa kimejaa damu kwa kujiuma
Mkuu Milindi, kati ya uhuru usio na mipaka kabila, absolute freedom, ni uhuru wa kufikiri na uhuru wa kudhania!, hivyo ruksa kudhania data zangu natoa kwa hawa 'jamaa zetu' ili tuu kujenga picha na mimi ni 'wale jamaa!'.Pasco sorry for missing your point! najua data zako ziko vizuri kutokana na kufahamiana na watu wengi wa tiss ingawa hujawataja directly! Niliapa kutoangalia dialo magamba tv milele! kama utapenda na mie nifaidi ili ni comment vizuri upload full video ili nisikilize mwanzo mwisho. ddos attack vipi uliiongelea! gd9t!
No ni watu wawili tofauti, mimi ni Paskali Mayalla, ni mtu wa kweli na ni verified member!, yule Pasco wa jf ni mtu tuu anetumie jina lile, ita tunafahamiana, tunashabihiana, na tunafanana sana ila ni watu wawili tofauti. Mimi ni CCM damu, na supporter mkubwa wa Magufuli nikimaanisha hapa kazi tuu!, Pasco wa jf, ni mfuasi wa Lowassa na mwanzo mwisho!.kwani Pasco na huyu Pascal Mayala ni mtu mmoja?
Mkuu Elungata, sio kweli kuwa ninapenda konyagi, bali ninaitumia tuu konyagi kama kinywaji pale inapobidi!. Kinywaji ninachopenda niNasikia anapenda konyagi huyo,,
hongera basi mkuu
Mkuu nimeripoti newsoom kwa mara ya kwanza tarehe 2, Januari, mwaka 1990!, mpaka leo ni miaka 25!. Nimeipoti chaguzi 4 za vyama vingi, na kama ningekuwa sijastahafu, uchaguzi huu ungekuwa ni wa 5 kuuripoti!. Sijisifu ila mimi ndie nilikuwa mtu wa kwanza kufanya TV Talkshow Tanzania!, ndio nilikuwa Mtangazaji bora wa kwanza wa TV kwa Tanzania kwa viwango vya M-Net!. Ndio nilikuwa Mtangazaji wa kwanza kutoka Tanzania kutinga UN kutangaza GA!. Mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa Radio Tumaini, DTV na TVT!, na kwenye list ya veterans journalist wa Tanzania kwa mujibu wa UN Tanzania, jina langu lipo!. Nimetembelea mabara yote ya ulimwengu huu na nchi zaidi ya robo tatu za bara la Afika zikiwemo nchi zote za Kusini mwa Jangwa la Sahara!, hivyo kwa ukongwe!, na mimi ni mkongwe!
Paskali