Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
😂😂😂khaaa nyagi..hahahaa hyo saluteNimepiga glass moja ya wine nkamuambia mama mkwe hapa najidanganya ngoja bikalete vitu vyanguView attachment 976867
😂😂😂khaaa nyagi..hahahaa hyo saluteNimepiga glass moja ya wine nkamuambia mama mkwe hapa najidanganya ngoja bikalete vitu vyanguView attachment 976867
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hornet umekosa ofwaa.hehehe
Acha kabisa sijui kitaiva saa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekutana na jiran naye anautwanga huki anapika hii hii lite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109].
Mnyamaaaa......Nimepiga glass moja ya wine nkamuambia mama mkwe hapa najidanganya ngoja bikalete vitu vyanguView attachment 976867
😂😂👊👊👊mama ni mamaAcha kabisa sijui kitaiva saa ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini wamekula vitu hapa na pale hahahah
Hahahaha, kwenye bapa tuko pamoja, tunaweza kukaa kikaoLangu bapa tu mamaa
Mie pia nember sana pale black and white ni kila jioni kula ile mishkak yao ni hatari inawezekana tuliwah onana sema ndio uzur wa jf mnakaa sehem moja kuonana mtihanimie pale napaona wanakaa mamen zaid..labda kule juu..mie chaka langu la maisha blak n white..nshakuwa member😊
Asante Mwenyekiti wanguKazi na dawa Mweka hazina asante sana kutukumbuka
😂😂😂👊Langu bapa tu mamaa
👊👊Mie pia nember sana pale black and white ni kila jioni kula ile mishkak yao ni hatari inawezekana tuliwah onana sema ndio uzur wa jf mnakaa sehem moja kuonana mtihani
Abebe jiweeeeLeo ni Leoo....
Asiye na mwana......!!!!?
Kabisa katibu mamito nawatamani jamani tukae pamoja tunge enjoy sana[emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109]mama ni mama
Hahahaha, kwenye bapa tuko pamoja, tunaweza kukaa kikao
Hahahaha kwa JF hii? Wewe uko A Town, mm niko porini hapo itakuaje?Wadau natamani siku moja tuandae kaparty ketu mahali tukamate ulabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwa kama mweka hazina nawakaribisha wajumbe itapendeza january please
Hahahaha, ile ukinywa ina hamia chini ,asee nimeogopa ,tuko pamoja halafu ueanze kusema unataka kushuka nyegezi ,itakua nomaSasa mbona ukataka kuvunja kamati mapema?
Ila tuwe wakweli hivi mwanamke unaanzaje kunywa pombe mpaka ukitembea njiani unapepesuka?