Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Flomi ya morogoro ama...[emoji14][emoji14][emoji14] ningekuwa dar ningeenda isaje..ila huku nitajikalia flomi ingawa panaboa fulan au JTI
Twenzetu nasheera mama then moro hotel😛😛😛 ningekuwa dar ningeenda isaje..ila huku nitajikalia flomi ingawa panaboa fulan au JTI
😛😛alafu ht jana nilipafikiria hapo..nashera kuna booonge ya cocktail..ukiimaliza ww mwanaume au mwanamke kweli😂😂hutaacha kuona rang8 zoteTwenzetu nasheera mama then moro hotel
yeahFlomi ya morogoro ama...
don had umenikera ujue😂😂🙈kitu robertson..nainywaga km maji😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂huu usengenyaji ninaouana hapa una level ya PhDKikao cha dharura wadau... Kuna mahali tunasengenywa Nilichogundua: JF ina walevi wengi sana!! - JamiiForums
tanguliam.bado najipikilishaTwenzetu nasheera mama then moro hotel
Sehemu nzuri sana hiyo nahisi mwaka mpya nitakuwa huko...yeah
Hahahahaha jana nliinywa cocktail nkaanza na bia nashtuka leo asbh kumbe nlitoka kwa mguu mpaka mo town nkapanda pikipiki na gari nmeacha nashera hakika nliona rangi zote nataka leo nkajiulize tena hv ni kweli😛😛alafu ht jana nilipafikiria hapo..nashera kuna booonge ya cocktail..ukiimaliza ww mwanaume au mwanamke kweli😂😂hutaacha kuona rang8 zote
yalaaaaaahhhh...pure kienyejNnaanza hiviView attachment 976851
don had umenikera ujue[emoji23][emoji23][emoji85]kitu robertson..nainywaga km maji[emoji23][emoji23][emoji23]
pazuri wapi mkuu😊Sehemu nzuri sana hiyo nahisi mwaka mpya nitakuwa huko...
😂😂😂👊mie value ndo inanitiaga uchizi..ila zingine zote akuuuHiyo nikinywa
Mwili wote unahamia chini
Sijui kwa nini
Hahhahaaa....Kikao cha dharura wadau... Kuna mahali tunasengenywa Nilichogundua: JF ina walevi wengi sana!! - JamiiForums
😂😂😂😂nahis km nakufaham😂😂😂uwiiii khaa ww kiboko... hahahahah... aiseee... mie jiwe la mor town nalipenda balaa nikiwa na mzuka na clubing hapo ndo naendaga😂😂😂 ..Hahahahaha jana nliinywa cocktail nkaanza na bia nashtuka leo asbh kumbe nlitoka kwa mguu mpaka mo town nkapanda pikipiki na gari nmeacha nashera hakika nliona rangi zote nataka leo nkajiulize tena hv ni kweli
Hahahaha, oooh basi tena ,nilitaka tuonane nikunyweshe hy ,X mass ya Leo ,sasa km mambo yenyewe ndio hayo basi bana RafikiHiyo nikinywa
Mwili wote unahamia chini
Sijui kwa nini