Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

😂😂😂😂nahis km nakufaham😂😂😂uwiiii khaa ww kiboko... hahahahah... aiseee... mie jiwe la mor town nalipenda balaa nikiwa na mzuka na clubing hapo ndo naendaga😂😂😂 ..
Yea mo town atleast pana heshima kdgo ila samaki hua napita kama sipaoni niliwah enda siku wakat nahamia hamia moro dah hapana tofauti na ambiance au kona bar mtu na heshima zako huwezi kaa pale
 
Yea mo town atleast pana heshima kdgo ila samaki hua napita kama sipaoni niliwah enda siku wakat nahamia hamia moro dah hapana tofauti na ambiance au kona bar mtu na heshima zako huwezi kaa pale

mie pale napaona wanakaa mamen zaid..labda kule juu..mie chaka langu la maisha blak n white..nshakuwa member😊
 
Nimepiga glass moja ya wine nkamuambia mama mkwe hapa najidanganya ngoja bikalete vitu vyangu
1545734424493.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom