Eddy mtatina
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 174
- 142
Was born today...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma sanaCC : Asprin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]View attachment 976586
Wachaga juu[emoji23][emoji23]View attachment 976533wamechafua meza
Mkuu wangu nlikua mzigoni nimetoka saa 9 alfajiri acha nikaianze hiyo Christmas sasa
Karibu A town rafiki[emoji4]nilijua tu ww kitu A town..lol
Hii ni noma sanaCC : Asprin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]View attachment 976586
Hiyo stoo haikuwa na vyupa vyenye maji ya rangi ya mende?Ukiwa mlevi wa kudumu na huwa hhuwasumbui wahudumu ni raha.
Sasa hivi ndoo napata fahamu, cha kufurahisha nilifungiwa store na vitu vyangu
Hiyo stoo haikuwa na vyupa vyenye maji ya rangi ya mende?
Jana nilkikua maji kumbe nilitoa godoro nimelala sebuleni balaa