Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Haikatai..
20181220_234650.jpeg
 
Jana nimekutana na hii kitu somewhere sema wanauziwa members tu kuepusha mambo ya awamu ya tano!View attachment 973575
[emoji16] nimemkumbuka boss wangu mmoja, alikuwa anatembea navyo kama katoni zima kwenye gari.... mkikaa sehem, anapata Heineken zake anakichomoa tu kwenye koti la suti na kuminya....[emoji23][emoji23]
 
Mkuu hizi vitu zinapatikana sema kama hamfahamiani personally ni ngumu maana ukishikwa unapewa kesi kama ya singasinga na rugemalila no dhamana, hapa nina stock ya hadi mwaka mpya, tembelea mitaa ya kino studio, if you know you know, naogopa kutoa code kamili.
Dah mdau naomba katoni 10 tafadhali sana
 
Mkuu hizi vitu zinapatikana sema kama hamfahamiani personally ni ngumu maana ukishikwa unapewa kesi kama ya singasinga na rugemalila no dhamana, hapa nina stock ya hadi mwaka mpya, tembelea mitaa ya kino studio, if you know you know, naogopa kutoa code kamili.
Seriously nahitaji mzigo nitakuja kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom