Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,668
- 870,361
- Thread starter
- #9,261
Mdau[emoji23][emoji23][emoji23]kokoliko[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment VID-20181208-WA0259.mp4
Safi mchana huoSema mwekahazina@nlikuwa namaliziaa Kimeo fulani cha mtu dahh napiga jaramba
Alafu libeneke liendeleee
Ova
Kama Kawa....nlikuwa na kazi nshauaaSafi mchana huo
Konki jogooo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdau[emoji23][emoji23][emoji23]kokoliko[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 960248
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Ka weekend kameanza vyema sana View attachment 960575
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wadau nahisi hii kodi nayoenda kulipa leo ndio itayojenga BRT ya MBAGALA[emoji3][emoji3][emoji3]
We acha wiki imekatika niko sober lakini leo uvumilivu umenishinda asee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Anzisha tu .......mjumbeMixer games zinazoendelea green lights zenu tu ndugu mwenyekiti na katibu
Loh [emoji41]Kwakweli jana sijui nilikunywa pombe yenye arikohori ya kirevi au kirevi chenye pombe ya arikohori.. Maana mwisho wa siku watu walizima kasoro mimi
Tulianza na black label kavu
Tukaingia kwenye milk stout mixer valuer
Halafu ikaja cocktail ya don nyati, kitoko na zanzi
Kisha tukamalizia na dompo na drostdy hof.. Hizi hazikuisha wote chali.. Nikabeba kiporo... View attachment 961152
Nmeanza hvi kwa mangi [emoji23]Kwakweli jana sijui nilikunywa pombe yenye arikohori ya kirevi au kirevi chenye pombe ya arikohori.. Maana mwisho wa siku watu walizima kasoro mimi
Tulianza na black label kavu
Tukaingia kwenye milk stout mixer valuer
Halafu ikaja cocktail ya don nyati, kitoko na zanzi
Kisha tukamalizia na dompo na drostdy hof.. Hizi hazikuisha wote chali.. Nikabeba kiporo... View attachment 961152