kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,495
Mi ndio naanza baada ya kutoka kumchangia Mchungaji zake.
Mi ndio naanza baada ya kutoka kumchangia Mchungaji zake.
Kuna sehemu napiga kazi na BataMi ndio naanza baada ya kutoka kumchangia Mchungaji zake.View attachment 961342
Ka weekend kameanza vyema sana View attachment 960575
Nipee kanguchuu basii[emoji39]
Jasho inayonitokaa hapaa uuwiiView attachment 961508
Nipo huku Kolomije mkuuWapi hapo
Ova
Duh mbn Wana bei ya upendeleo hkoNipo huku Kolomije mkuu
Kabisa mkuuDuh mbn Wana bei ya upendeleo hko
Ina maana nkiwa na 20000/ mm ni chakari
Ova
IgoDuh bia aina gani hyo
Ova
Kiukweli tangu nipate bia ya buku hizo zingine nimesahau hadi beiSafari wanauzaje hko
Ova
Bia gani au eagle!? Maana ndo naona madogo wanazitwanga sana mtaani sjui kwa sababu ya hii hali ya uchumi au nnHatimaye Sasa Kwa Buku Napata Bia!
Ndio mkuuBia gani au eagle!? Maana ndo naona madogo wanazitwanga sana mtaani sjui kwa sababu ya hii hali ya uchumi au nn