Mkuu The August nimetuma cv tayari.
Asante sana kwa kuguswa
Barikiwa sana
Michongo mingi ni deals za biashara,idea etcAsante sana mkuu ubarikiwe!
Nakutumia
Michongo mingi ni deals za biashara,idea etc
Tunapeana deals za kila aina tunazungumzia tunapeana.....hpo we ni kuchuja mwenyewe
Michongo ya ajira Mara chache inazungumziwa!
Ova
Mkuu nipo sawa tu kuunganishwa na business deals, lakini ishu inayonirusisha nyuma ni pesa,Michongo mingi ni deals za biashara,idea etc
Tunapeana deals za kila aina tunazungumzia tunapeana.....hpo we ni kuchuja mwenyewe
Michongo ya ajira Mara chache inazungumziwa!
Ova
Ahh kweli!Huu ndio ukweli mkubwa sana. Ajira ni challenge sana these days.
Ok....Mkuu nipo sawa tu kuunganishwa na business deals, lakini ishu inayonirusisha nyuma ni pesa,
Ndio maana nikaomba kazi kwa yeyote mwenye deal ya biashara ili nipate msingi
Nashukuru sana kwa mchango wango
Ahh kweli!
Kikubwa ukipewa mchngo we chuja mwenywe
Ila michongo ya kuzungumzia bar haziko kiofisi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ijumaaa wapi walipa kodi
Yah!But huwa ni real deals.
Yah!
Wale wazee wa magumashi nao wanakuwaga na meeting zao pia
Ova
Aisee mie ndio nalianzishaIjumaa imeanza saa 2 asubuhi
We jamaa ww haaaaahGood better bestView attachment 959183
Aisee mie ndio nalianzisha View attachment 959350