Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hongera

Mie ilinitokea siku moja tulikuwa tunavunja kamati ya harusi ya bro wangu bana. Kulikuwa na vinywaji vya kila aina. Mi nikawa nakunywa dompo. Sasa baba akatupa chupa ya Hennesy anayetaka anywe [emoji23][emoji23]

Si nikachanganya kidogo kwny glass yangu ya dompo lol. Sikumbuki kama niliimaliza ile glass ila nachokumbuka nilienda toilet kukojoa, lafu nikazima mazima. Nakuja kushtuka alfariji kuangalia nipo chooni nimekaa kwny sinki (choo cha kukaa) [emoji23][emoji23][emoji23] sitakuja kusahau hii siku aisee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]

Sikupata picha watu walivyokuwa wanakuja toi kugonga kumbe mtu kazima
Hahahaha safi Sana

Kuna kipindi niko huko ,nilifanyaga project moja ya ' Chonde Chonde ulevi noma' [ km mnaikumbuka ]

Asee nilikua nasimuliwa vituko vya walevi ,full kucheka
 
Dah siwezi kufika leo nina wateja toka Kongo ila ni matapeli hivyo tunaliana timing kilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Unasalimiwa sana na yule bro wa siku ile naye 24/7 chicha yko tiger nataka muibukia
Leo tulikuwa kwenye chimbo moja la matrfk mwananyamala pale peace bar pembeni tulipiga sana mvinyo
Kuna jamaa mmja alichkuliwa leseni yake ya gari jamaa mwenyewe muogamuoga nkamwambia hyo aliyekuchkuliaaa leseni tutamkuta sehemu fulani huwa wanajiiba mapema kazi na Bata.....Hao mida ya saa Sita tukatia timu pombe pombe ahhh jamaa wakampa leseni akapigishwa fine ya round 1 ya bia maisha yanaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Dah siwezi kufika leo nina wateja toka Kongo ila ni matapeli hivyo tunaliana timing kilingeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh Ratiba imebadilika ntaenda chipolopolo magomeni......ngj tujipeleke kwa wajanjajanja matapeli pale mwenyekiti

Ova
 
Kama wanakuzingua si unavuta shat kwa juu unafanya kama unajikuna ili waone ile kitu (kale ka jana) [emoji23][emoji23][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kale cha mtoto nina hirizi inapumua kumbe ndani ni mtoto wa chura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom