mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,417
- 138,174
Duh sijawahi kuzima lbda kuyumbaHaijawahi kukutokea
Hpa yenyw nmekunywa bia zaidi ya 7+ konyagi ndg ila leo home mapema Sita kamili ndani
Ova
Duh sijawahi kuzima lbda kuyumbaHaijawahi kukutokea
HongeraDuh sijawahi kuzima lbda kuyumba
Hpa yenyw nmekunywa bia zaidi ya 7+ konyagi ndg ila leo home mapema Sita kamili ndani
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera
Mie ilinitokea siku moja tulikuwa tunavunja kamati ya harusi ya bro wangu bana. Kulikuwa na vinywaji vya kila aina. Mi nikawa nakunywa dompo. Sasa baba akatupa chupa ya Hennesy anayetaka anywe [emoji23][emoji23]
Si nikachanganya kidogo kwny glass yangu ya dompo lol. Sikumbuki kama niliimaliza ile glass ila nachokumbuka nilienda toilet kukojoa, lafu nikazima mazima. Nakuja kushtuka alfariji kuangalia nipo chooni nimekaa kwny sinki (choo cha kukaa) [emoji23][emoji23][emoji23] sitakuja kusahau hii siku aisee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Sikupata picha watu walivyokuwa wanakuja toi kugonga kumbe mtu kazima
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kvant ni habari nyingine hii pombe ni kali mno niko kitaa nimenunua kubwa nimepiga kidogo tu naanza kuona marue rue
Siipendi kama nini.... Jina lake linaanza na K... Huwa inanipeleka kwingine [emoji848][emoji848][emoji85][emoji85][emoji85]Kvant ni habari nyingine hii pombe ni kali mno niko kitaa nimenunua kubwa nimepiga kidogo tu naanza kuona marue rue
Kula maishaMpaka nizime leoView attachment 954823
Hahahahaa acha uf$##la [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siipendi kama nini.... Jina lake linaanza na K... Huwa inanipeleka kwingine [emoji848][emoji848][emoji85][emoji85][emoji85]
Lazima unywe kwa timing kama sisi wazee wa mbioo ndefu lazima unywe kwa hesabu kali ukifakamia utazima utabebwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Maisha yananikula mkuuKula maisha
Sifa za mlev zinakuwaga za uongo
Hahahahaa hzo ndo raha za pombe atiLazima unywe kwa timing kama sisi wazee wa mbioo ndefu lazima unywe kwa hesabu kali ukifakamia utazima utabebwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa yetu tunapiga naye sana masanga ni dokta yeye ndy bingwa wa kuzima ila tushamwambia anatupa adhabu sana ya kumbeba huyo tutamtengenezea wheel chair yke....
Mwingine tena ni bingwa wa kuingia mtaroni na Gari hyo sim zake za msaada tushachoka
Mshikaji mwingine akilewa nyumbani kesi zake tunaletewa sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo ya mitungi hayo lkn
Ova
He! Hv nimetukana eeh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenitukana ma2C[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]