King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,204
- 1,322
Izo bia unazo kunywa ndo zinazo king,alisha sio sisi wazee wa ngum kumeza[emoji3] tho ako ka rangi nitakabeba kwa bia ngapi?Njoo ukachukue basi jamani[emoji16]
Izo bia unazo kunywa ndo zinazo king,alisha sio sisi wazee wa ngum kumeza[emoji3] tho ako ka rangi nitakabeba kwa bia ngapi?Njoo ukachukue basi jamani[emoji16]
😂😂😂😂😂 sitak tena aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiii pole maa kwa kuumwa figo ila zikipona endelea tu kulewaaaaaaa pombe tamu jamaniii tena kwa nchi kama hii tunayoishi full stress
Mkuu usiogope unafanya kama unatoa sadaka ujue acha uwoga kabisaIzo bia unazo kunywa ndo zinazo king,alisha sio sisi wazee wa ngum kumeza[emoji3] tho ako ka rangi nitakabeba kwa bia ngapi?
Eiiish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitak tena aisee
😂😂😂😂Eiiish
Usiniambie unataka kuwa mlokole
Acha ujinga wewe ebu lewaaaa ulokole my foot[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada nakusalimuMkuu usiogope unafanya kama unatoa sadaka ujue acha uwoga kabisa
Asante mkuu wangu habari yakoDada nakusalimu
Habari yangu ni salama kabisa mkuuAsante mkuu wangu habari yako
Asante mkuu nafurahi kusikia hivyoHabari yangu ni salama kabisa mkuu
Nami nafuraia zaidi kwa kukuta maeneo haya mkuuAsante mkuu nafurahi kusikia hivyo
Sawa mkuu wanguNami nafuraia zaidi kwa kukuta maeneo haya mkuu
Pole sana mdau.Walipa Kodi wezangu juzi nilitoka kulipa Kodi wahuni wakanikaba nikaona isiwe kesi nikawakabizi kila kitu hapa naishi kwa hisani tu[emoji24][emoji27]
Pmja kamanda.....Karibuni walipakodi ndio tunaanza taratibu.View attachment 954547
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiii pole maa kwa kuumwa figo ila zikipona endelea tu kulewaaaaaaa pombe tamu jamaniii tena kwa nchi kama hii tunayoishi full stress
Poa katibu hilo linakubalika.Pmja kamanda.....
Jiandae sjui siku gani unipe code tujumuike tugembeke.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] Inabdi tupange
Utaniambie location maana ntakuja kma askari wa miamvuli hapo
Sahv nko kwa mangi....vidhibiti kuleeee
Ova
View attachment 954573
Ratiba ya J3 mazoezi ktk pool ,kisha tuendelee kulewa View attachment 954571View attachment 954572
Poa ila usichelewe kuanza kulipa kodi.Ratiba ya J3 mazoezi ktk pool ,kisha tuendelee kulewa View attachment 954571View attachment 954572