mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,414
- 138,173
Rangi ya Mtume
Nipo mkuu yaani nipo sanaaaaa
Nimekumiss mzee wa Swaziland nani amekuteka lakiniRangi ya Mtume
Poleee unakosa utamu wa duniaMimi na kilevi mbalimbali dada [emoji3][emoji3]
Yaaan acha tu wakunyumba mambo yanabanaUmepotea wakwetu
Basi tu mchakamchaka.Nimekumiss mzee wa Swaziland nani amekuteka lakini
Pole ndo ukubwa huoYaaan acha tu wakunyumba mambo yanabana
Huyo kwny picha mbona kama Gudume [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unasifia kucha ukiona sura jeHupendi sifiwa
Ova
Sifa za mlev zinakuwaga za uongoBana weee
Utasifiwa pia [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa unasifia kucha ukiona sura je
Hapa niko home nikizima ntaamka asbh [emoji23][emoji23]Utabebwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ok.....mtu unazimiaje na pombe [emoji23] [emoji23]Hapa niko home nikizima ntaamka asbh [emoji23][emoji23]
Haijawahi kukutokeaOk.....mtu unazimiaje na pombe [emoji23] [emoji23]
Ova