Hongera
Mie ilinitokea siku moja tulikuwa tunavunja kamati ya harusi ya bro wangu bana. Kulikuwa na vinywaji vya kila aina. Mi nikawa nakunywa dompo. Sasa baba akatupa chupa ya Hennesy anayetaka anywe [emoji23][emoji23]
Si nikachanganya kidogo kwny glass yangu ya dompo lol. Sikumbuki kama niliimaliza ile glass ila nachokumbuka nilienda toilet kukojoa, lafu nikazima mazima. Nakuja kushtuka alfariji kuangalia nipo chooni nimekaa kwny sinki (choo cha kukaa) [emoji23][emoji23][emoji23] sitakuja kusahau hii siku aisee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Sikupata picha watu walivyokuwa wanakuja toi kugonga kumbe mtu kazima