The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Nilikua kwenye kifungo kirefu sana cha siku 30 cha kutumia dawa, hatimae kesho kinaisha..... Life bila monde ni gumu sana. Siku hizi 30 hizi zimekua ngumu sana! Sijui nitaanza na Ndovu, sijui Safari, sijui Grants....sijui Gordons....sijui nyagi...huu uzi nilikua nauchungulia kwa masikitiko na uchu kama mfungwa anayemtazama dem mkali anayepita pembeni ya gereza...freedom is just around the corner