Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Syo unakunywa Mara umetoa ngeu Mara umevunjika mguu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunakunywa kwa burudani

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha yule msela ako alovunjika mguu bado anakunywa?maana walevi hstukomagi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule aliingiaa mtaroni bahati mbaya aise anaendelea vzuri na kodi anaendelea lipa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpe Hi asee mwambie wanachama tunamwombea apone kabisa tuendelee kulipa kodi vilivyo.
 
Mbishi ashatoa ogo jna tuliachana saa tisa usiku

Ova
Noma sana simjui ila image yake inanijia kama vile ndo yule sjui LIQUID yule mwanachama alopiga masanga juzi akaruka kwenye steji bahati mbaya akavunjika mguu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpe Hi asee mwambie wanachama tunamwombea apone kabisa tuendelee kulipa kodi vilivyo.
Tatizo kwake anapoingia kuna kama kidaraja
Pale huwa anatumbukiaga sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mm mwenyewe nkiwa mtungi kwake siendagi si unajua sisi wazee wa timing [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wadau tumemshauri ajenge ki flyover maana dahh ni shida

[emoji23][emoji23][emoji23]eti ki flyover walevi hatukosi mbinu
 
Noma sana simjui ila image yake inanijia kama vile ndo yule sjui LIQUID yule mwanachama alopiga masanga juzi akaruka kwenye steji bahati mbaya akavunjika mguu
Yule jamaa wa liquid tatizo lke a yupo stable
Resi nyingi kwenye pombe kuongea sana
Lazima pombe ikuchkue

Juzi nimeona picha yake yuko hospital na hogo amekaa kinyonge sana[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eti ki flyover walevi hatukosi mbinu
Kuna moja hiyo nlikuwa nairobi kila siku mtungi tnarudi alfajiri nlikuwa mtaa ya welington tungi daily
Sasa kuna siku mtungi ulizidi sasa kulikuwa na nyumba imefanana na ile tuliyofikia
Si mwenzangu akasema turuke ukuta tuingie ebwanaa walitoka mbwaaaa
Ponapona yngu nkadandiaa juu ya mti pombe zote zilikata nkamuacha mwenzangu mbwa wanamfanyiziaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa wrong house

Ova
 
Walevi visanga nomaaaa tunakutana navyo

Ova
Mwamba huyo hapo ila sura tu inaonesha ni mpiga masanga mzuri
IMG_20181202_122459_347.JPG
IMG_20181202_122513_489.JPG
 
Kuna moja hiyo nlikuwa nairobi kila siku mtungi tnarudi alfajiri nlikuwa mtaa ya welington tungi daily
Sasa kuna siku mtungi ulizidi sasa kulikuwa na nyumba imefanana na ile tuliyofikia
Si mwenzangu akasema turuke ukuta tuingie ebwanaa walitoka mbwaaaa
Ponapona yngu nkadandiaa juu ya mti pombe zote zilikata nkamuacha mwenzangu mbwa wanamfanyiziaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa wrong house

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema wewe mkuu una visa na mikasa kwenye hizi harakati wakati wa kula vyombo.
 
Kuna moja hiyo nlikuwa nairobi kila siku mtungi tnarudi alfajiri nlikuwa mtaa ya welington tungi daily
Sasa kuna siku mtungi ulizidi sasa kulikuwa na nyumba imefanana na ile tuliyofikia
Si mwenzangu akasema turuke ukuta tuingie ebwanaa walitoka mbwaaaa
Ponapona yngu nkadandiaa juu ya mti pombe zote zilikata nkamuacha mwenzangu mbwa wanamfanyiziaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa wrong house

Ova
Sasa alipona na hilo varangati la mbwa au vipi[emoji23][emoji23]maana spati picha
 
Alifanyiwa sana Mm nilimwambia nyumba syo hiyo ye akaniambia mm nmelewa sana sjui nkamwambia hayaa turuke ukuta baba

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom