Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wanapenda ligi sana kugombania wanawake
Kuna mzee mmja tulikuwa tunapiga naye masanga alikuwa na tabia kila akirudi kwake anaruka ukuta
Siku moja mtungi akarudi mtungi akaruka ukuta kumbe alijisahau ukuta mmbovu ukamuangukia alikata moto pale pale [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Kuna mzee mmja tulikuwa tunapiga naye masanga alikuwa na tabia kila akirudi kwake anaruka ukuta
Siku moja mtungi akarudi mtungi akaruka ukuta kumbe alijisahau ukuta mmbovu ukamuangukia alikata moto pale pale [emoji23] [emoji23]

Ova
[emoji23][emoji23]hilo jina ulilosema ulipewaga la kaboka mchizi lilikufaa maana una mikasa mingi mno.
 
Kuna moja hiyo nlikuwa nairobi kila siku mtungi tnarudi alfajiri nlikuwa mtaa ya welington tungi daily
Sasa kuna siku mtungi ulizidi sasa kulikuwa na nyumba imefanana na ile tuliyofikia
Si mwenzangu akasema turuke ukuta tuingie ebwanaa walitoka mbwaaaa
Ponapona yngu nkadandiaa juu ya mti pombe zote zilikata nkamuacha mwenzangu mbwa wanamfanyiziaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa wrong house

Ova
Hii imenivunja mbavu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Katibu umeshindikana
Dah tuko kwenye msiba wa mlokole mmja imebidi tulipe kodi kimtindo

Ova
20181202_142357.jpg
20181202_142207.jpg
 
mtu chake nlikuwaga kwenye mishe zangu mitaa ya mikocheni kuna siku kulikuwa na msiba kwa mzee bomani pale mlalakuwa kuna jamaa mmja nguli mkongwe mikocheni anaitwa mudy punky akatupeleka code Dah huo msiba mpka tbl walileta semi yenye bia
Watu walipombeka watoto wa mikocheni tungi mpk kutembea hawawezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mengi naye alileta Gari yenye maji ya kilimanjaro mambo ya msosi usiseme.....babake wakati natoka usiku mnene pale daraja ni kidogo ningie na golf yangu maana nlikuwa maji balaa
Kuna dogo mmja wa mikocheni alinambia huu syo msiba ni sherehe [emoji23][emoji23]

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom