Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,977
- 100,158
HahahahaUnaweza kujipanga raha ikizidi unadokoa unajiambia utapata mara January hiyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mwezi wa matumizi
HahahahaUnaweza kujipanga raha ikizidi unadokoa unajiambia utapata mara January hiyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mwezi wa matumizi
Wajumbe mbona kimya karibuni.
Mikasa Tabata View attachment 952770
We ni kama mimi niko nalala pombe ya jana kidogo initoe roho[emoji23][emoji23][emoji23]mie mpk ss nalala tu nimechoka ..juzi nilikunywa hiyo k vant mixer na wine... jaman jaman[emoji23][emoji23][emoji23]!@demi umeamkaa?
We ni mashine asee kila siku hakuna mapumziko ni kutupia tu vyombo
neno hili mkuuWazo zuri sana
Moja ya viwanda hvyo namiliiki [emoji23] [emoji23] [emoji23]We ni mashine asee kila siku hakuna mapumziko ni kutupia tu vyombo
😂😂😂mm nilikosea nikamix na dompo..jana nimeshinda hai hai na harusi yan nimeingia ukumbin nataman kufa😂😂msos haupand nikapiga wine tena bado nikawa najiskia ovyo tu... arghhhWe ni kama mimi niko nalala pombe ya jana kidogo initoe roho
Hahahahaaa daaah upewe tuzo ya heshima tu na tbl coz unachangia sana kodiMoja ya viwanda hvyo namiliiki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ah kawaida tu hii moja ya starehe yangu kubwaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaaa daaah upewe tuzo ya heshima tu na tbl coz unachangia sana kodi
Hahahahaaa kvant na misosi ya kwenye sherehe haipandi,kvant inataka nyama choma au mchemsho[emoji23][emoji23][emoji23]mm nilikosea nikamix na dompo..jana nimeshinda hai hai na harusi yan nimeingia ukumbin nataman kufa[emoji23][emoji23]msos haupand nikapiga wine tena bado nikawa najiskia ovyo tu... arghhh
Kikubwa unafanya kitu nafsi yako inapendaAh kawaida tu hii moja ya starehe yangu kubwaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
AmennKikubwa unafanya kitu nafsi yako inapenda