Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,995
- 100,192
Nakuachaje swt embu ukuje kwa huku[emoji8]nimeachwaaa[emoji14]
Mmmh
Na nani tena?
Hahahaha[emoji14][emoji14]naona anakunywa mwenyewe..na huku alisema mguu wake mguu wangu kwenye [emoji481]
😛😛😛Nakuachaje swt embu ukuje kwa huku[emoji8]
Hahahaha
Asee pole sana
December hii,abiria chunga mzigo wako
[emoji23][emoji23] unaogopa kulea[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna maana hyo..unataka nianze kulea?
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna maana hyo..unataka nianze kulea?
Nakala kwa wajumbe woteYAH : WALIPA KODI WOTE HUMU NDANI
Husika na somo hapo juu ,tunaingia mwezi wa majaribu ,mwezi ambao tunahitajka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ,ambao ni mfupi
Mambo hayo ni :
A. Kulewa/kulipa kodi mwezi December wote huu ni mwezi muhimu
B. Lewa lkn kumbuka kuna January ada ya watoto shule
NB: zingatia yote
Tukutane kwa Shayo
Ahsante mwenyekitiNakala kwa wajumbe wote
Jambo jema kama hili halihitaji ridhaa kabisaAhsante mwenyekiti
Ingawa ,nimechukua JUKUMU hili la kuwatangazia wadau bila 'RIDHAA' yako wala kupitia Katibu mrangi
Nadhani unajua week ya December inavyokua hasa ktk kuukaribisha mwezi December, kuelekea Noel ,kisha New Y
ear ,January
sijui ngoja nione leoI mean haikomazi msuli mkubwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Jambo jema kama hili halihitaji ridhaa kabisa
Ujumbe murua kabisa rafikiYAH : WALIPA KODI WOTE HUMU NDANI
Husika na somo hapo juu ,tunaingia mwezi wa majaribu ,mwezi ambao tunahitajka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ,ambao ni mfupi
Mambo hayo ni :
A. Kulewa/kulipa kodi mwezi December wote huu ni mwezi muhimu
B. Lewa lkn kumbuka kuna January ada ya watoto shule
NB: zingatia yote
Tukutane kwa Shayo
HahahahaUjumbe murua kabisa rafiki
Unaweza kujipanga raha ikizidi unadokoa unajiambia utapata mara January hiyo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mwezi wa matumiziHahahaha
Rafiki ni ujumbe tu ,ingawa najua watu humu wamejipanga