Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

FB_IMG_1702662443973.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiona umelewa saana na bado unataka kupiga vyombo

chukua
bicarbonate of soda (kijiko kimoja)
limao moja
changanya kwenye glass 1 ya maji ya kawaida then kunywa after few minutes pombe itakata na utaweza kuendelea kunywa

iwafae kipindi hiki cha sikukuu
 

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Ngoj nichangie chochote kitu
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1.3 MB · Views: 28

Similar Discussions

Back
Top Bottom